KARIBU KWENYE UKURASA HUU UPATE MAFUNDISHO MBALI MBALI YA NENO LA MUNGU
SOMO
Mutakabali wa Maisha Yajayo
Mafundisho ya Uongo
•
Utabadilika na kuwa kiumbe kingine-
Kama Nyani,nguruwe .k .n kutegemea na maisha unayoishi sasa.
–
Kifo ni Mwisho wa Kila kitu
–
Wote watakuwa peponi
•
Wengine wanakwenda purgatory waweza kukaa huko miaka kadhaa,maombezi ya
watu na watakatifu wa zamani yatakutoa huko
•
Biblia inathibitisha katika maandiko
mbalimbali kwamba baada ya maisha haya yako maisha ya Milele
–
Yesu alikwenda Mbinguni- Mdo 1
–
Anaandaa Makao ya Milele
–
Luke 16:19-31- Lazaro na Tajiri
–
Maisha
yao: Tajiri na Lazaro
The Rich Man
•
He never cared about others
•
He was a proud man because of his
richness and success
•
He had a luxurious life
•
He never had the fear of God
•
He never believed that there is life after death
•
He worshiped money/riches and not God
•
Selfish
•
He loved animals than people
Mtu Masikini (Lazaro)
•
Alikuwa masikini,hakuwa na uwezo
•
Alikuwa akiomba omba
•
Mbwa walilamba vidonda vyake – Hakupata dawa/vidonda visivyopona
•
Kifo kiliwajia wote ( All will die)
•
Hatima yao ikawa dhahiri kwa kila mmoja baada ya Kufa
( Sekunde chache baada ya kufa utajua ukweli uliokataa lakini utakuwa
umechelewa)
•
Maombi ya Tajiri
•
Majibu ya Ibrahimu
•
Nataka Nikuulize swali hili leo
•
‘’utakuwa wapi baada ya Maisha
haya?’’
•
Mungu hajakuandikia upotee milele
•
Upendo wake kwako.
•
Mpokee Yesu Leo.
Pastor Lucky Yona
TAG-Arusha Christian Worship Centre
1.
Dunia
2.
Mwili
3. Shetani
4. Nafsi
TAG-Arusha Christian Worship Centre
SOMO
Unalilia nini? Mwamini Mungu
Bahari ya Shamu
Mungu
ataikausha bahari ya shamu iliyo mbele ya maisha yako ( Kutoka 14: 10-15)
Baada ya Utumwa wa miaka 430
Hawakuwa na ujuzi wa Vita wala silaha
Hawakupewa
mafunzo ya Vita kabla ya safari
Mtumaini Bwana, Usilie
Usilie
kwa sababu
1. Bwana ndiye
atulindaye na kutupigania kinyume na maadui zetu ( Isaya 54: 15-17), I Pet 1.5 ‘’ Nanyi mnalindwa na nguvu
za Mungu hata mpate wokovu ......)
2. Bwan ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu (
Zab 23:1)
Yeye ndiye mtoshelezji wa mahitaji yetu yote
Ndiye
atupaye ajira na nguvu za kufanya biashara
3.
Bwana ndiye atupatiaye uzao ( Uzao watoka kwa Bwana, muumbaji na mzalishaji)
4.Bwana
ndiye atupatiaye ufahamu na akili ( Kolosai 2:3)
5.Bwana
ndiye alindaye uzao wetu ( Hatuwezi kuwalinda siku zote /wakati wote – Timo
rescue
6. Bwana ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata
utajiri – Yeye ni urithi wetu – Usilinie kwa sababu huna urithi
7. Bwana ndiye atuponyae magonjwa yetu ( Isaya 53)
Siku
za uhai wake ( Matayo 8-9)
Wenye
pepo
Wenye
ukoma waliponywa
Vipofu
waliona
Mama
mwenye ugonjwa wa kutoka damu aliponywa
Yesu
hajabadilika – Yeye ni yeye yule jana leo na hata milele
Ametupa
mamlaka, tu mabalozi wake
8. Bwana ndiye anayesamehe dhambi na kuokoa roho yako,
anaweza kufuta jina lako katika kitabu cha hukumu, kuandika jina lako katika
kitabu cha uzima
SOMO:VITA VYETU
1.
Dunia
• Msiipende Dunia, wala mambo yaliyomo duniani, kwa sababu kila
kilichomo duniani yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi havitokani na
Baba, bali dunia, na dunia inapita
pamoja na Dunia
2.
Mwili
•
Enendeni kwa Roho wala hamtazitimiza
kamwe tamaa za Mwili. Kwa sababu Mwili hushindana na Roho, na Roho hushindana
na Mwili wala hamwezi kufanya mnayotaka
–
Nia ya Mwili ni Uadui juu ya Mungu
–
Wale waufatao mwili hawawezi kamwe
kumpendeza Mungu
–
Kwa sababu mkinenenda kwa kufuata
mambo ya mwili mwataka kufa lakini mkienenda kwa Roho Mtaishi
•
Mambo ya Mwili ( Gal 5: 19-)
•
Nia ya Mwili/Matakwa ya Mwili
•
Mapenzi ya Mwili
•
Mwisho wa Mwili ( Nyama na Damu haviwezi
kumuona Mungu)
•
Udanganyifu wa Mwili
•
Udhaifu wa Mwili
3. Shetani
•
Vaeni silaha zote za Mungu ili muweze
kushindana. Kwa maan kushindana kwetu sisi si juu ya Damu na Nyama bali ni juu
ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa Anga na majeshi ya Pepo wabaya
•
Baba wa uongo
•
Ngazi za Utendaji wake
4. Nafsi
•
Mtu yeyote asiyeichukia nafsi yake
hafai kuwa mwanafunzi wangu
•
Chembe ya Ngano isipoanguka ikafa
hukaa hali hiyo hiyo, ila ikifa huzaa.
–
Yeye aipendaye nafsi yake
ataingamiza,naye aingamizaye nafsi yake ataiona.
–
Moyo ni Mdanganyifu
–
Mawazo na Fikira
–
Hisia
•
Nia ya Nafsi
5. Watu
•
Kama Mtu akija kwangu naye hamchukii
baba yake,mama yake, ndugu zake na hata nafsi yake hafai kuwa mwanafunzi wangu
•
Jihadharini na wanadamu
Pesa
•
Msiwe watu wa kupenda fedha , kwa
sababu Fedha ni shina la Mabaya
Pastor Lucky Yona
TAG-ACWC
SOMO:Maombi
Kwa nini kuomba ni Muhimu
Je Mungu hajui mahitaji Yetu?
¡ Mungu
anataka kuona kama tunamtegemea/Kimbilio letu/Msaada wetu
¡ Kushirikiana
naye/Kuwasiliana naye
¡ Maombi
ni kupumua kwa Mkristo
Kadhi Dhalimu Luka 18: 1-7-
Hakuwa
Mtu mwema/Dhalimu
Mwanamke
yule hakumkatia tamaa
Alimgangania
hata akampatia haki yake
Mungu
wetu si dhalimu, yeye atatupatia haja zetu
Hatupaswi
kukata tamaa
Kukata
tamaa ni dhambi
Mambo muhimu ya kuzingatia katika maombi
1. Yesu Kristo ni kiunganishi katika maombi
( I tim
2:5)
2. Maombi hubadili jinsi Mungu anavyotenda/Mwitikio
wake
¢ 2
Nyakati 7: 14
3. Usipoomba haupati ( Yak 4:2)
4. Tuombe katika jina la Yesu
(
Yohana 14:13-14)
(Yohana
16:23-24)
5. Kuomba kwa Imani ( Marko 11:24), Maana ya
Imani ( Ebr 11:1), Eliya – Yak 5:13,
Kama mtu amepungukiwa na hekima( Yak
1:5-8)
Imani
haikatishwi tamaa na kitu chochote, haikomi kuomba
6. Kuomba sawasawa na mapenzi yake ( 1 Yoh 5:14-15)
7. Kuomba kwa bidii ( Eliya – Yak 5:17)
8. Umgonjee Bwana katika maombi yako ( Zab 38:15)
9. Kuomba peke
yako ( Mt 6:6)
10. Omba na Wengine ( Mt 18: 19-20)
11. Kufunga na Maombi (Mt 6:16)
Angalizo
Ukiacha
kuomba imani hukoma/hufa
Ukiacha
kuomba utaingingia majaribuni
Ukiacha
kuomba utakata tamaa
Ukiacha
kuomba unayakaribisha mashetani yafanye makao kwako
Ukiacha
kuomba utakuwa mkrito dhaifu/Legelege/
Ukiacha
kuomba unakuwa mtu wa kuonewa na mashetani
Jumapili 08 july 2012
Na Mchungaji Anania MtunduSomo:Kumtegemea Mungu.
Waeffeso 4:11, Yeremia 17:5-7
Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwnadamu
Hatutakiwi kumtegemea mtu kwani kila mwandamu ana mwisho yake na kuna mambo mengi yanayomshinda nwanadamu.Uweza wa Mungu hauna mwisho wala kikomo ndio sababu tunatkiwa tumtegemee yeye pekee.
'Kumtegemea Mungu ni kuonesha kuwa unamfahamu na unamheshimu'
Yesu ni Simba wa kabila la Yuda,hakuna simba mwingine aliye mkuu zaidi yake.Ukimtegemea Mungu kutakufanya ufanye mambo makubwa kuliko watu watakavyotegemea.fedha,Dhahabu na vyote viijazanyo nchi ni mali ya Bwana kwa hiyo mwabie Mungu wetu aliye na kila kitu naye atakupatia hitaji lako.
Mambo ya kufanya katika kumtegemea Mungu
- Kumfuata Yesu na Kumtumikia Yoh 12:26
- Kumcha Mungu Mith 8:13
- Fuata maelekezo ya Mungu 2Yoh 1:6
- Uwe Mtumishi wa Mungu
- Shikamana na Bwana Kumb 13:4
Amen.
No comments:
Post a Comment