Jumapili ya jana tarehe 08 July watu hao walipata kubatizwa kwa maji Mengi
kama ilivyoandikwa katika BIBLIA TAKATIFU.Mchungaji Anania Mtundu ambaye ndiye aliyewabatiza watu hao amenukuu andiko kama ilivoandikwa katika Mathayo 3:13-17.
Ubatizo huo ulifanyika katika ziwa Duluti mkoani Arusha.
Hizi ni baadhi ya Picha za matukio ya Ubatizo huo
Pichani ni Mr Noel Katongo(kushoto) na Mchungaji Anania Mtundu(kulia) baada ya ibada jumapili jana
Mchungaji Kiongozi Lucky Yona na Mke wake
Mchungaji Anania akiongoza pambio baada ya kufika eneo la kubatizia ziwa Duluti
Mchungaji akimbatiza mshirika kwenye Maji mengi






No comments:
Post a Comment