Sunday, July 22, 2012

Mutakabali wa Maisha Yajayo



Mafundisho ya Uongo
      Utabadilika na kuwa kiumbe kingine- Kama Nyani,nguruwe .k .n kutegemea na maisha unayoishi sasa.
     Kifo ni Mwisho wa Kila kitu
     Wote watakuwa peponi
       Wengine wanakwenda purgatory  waweza kukaa huko miaka kadhaa,maombezi ya watu na watakatifu wa zamani yatakutoa huko
      Biblia inathibitisha katika maandiko mbalimbali kwamba baada ya maisha haya yako maisha ya Milele
     Yesu alikwenda Mbinguni- Mdo 1
      Anaandaa Makao ya Milele
     Luke 16:19-31- Lazaro na Tajiri
                 Maisha yao: Tajiri na Lazaro
The Rich Man
      He never cared about others
      He was a proud man because of his richness and success
      He had a luxurious life
      He never had the fear of God
      He never believed  that there is life after death
      He worshiped money/riches and not God
      Selfish
      He loved animals than people
Mtu Masikini (Lazaro)
      Alikuwa masikini,hakuwa na uwezo
      Alikuwa akiomba omba
      Mbwa walilamba vidonda  vyake – Hakupata dawa/vidonda visivyopona

      Kifo kiliwajia wote ( All will die)
      Hatima  yao ikawa dhahiri kwa kila mmoja baada ya Kufa ( Sekunde chache baada ya kufa utajua ukweli uliokataa lakini utakuwa umechelewa)
      Maombi ya Tajiri
      Majibu ya Ibrahimu
      Nataka Nikuulize swali hili leo
      ‘’utakuwa wapi baada ya Maisha haya?’’
      Mungu hajakuandikia upotee milele
      Upendo wake kwako.
      Mpokee Yesu Leo.
Pastor Lucky Yona
TAG-Arusha Christian Worship Centre

No comments:

Post a Comment