SIKU ZA
MWISHO
Maonyo ya Biblia juu ya Mafundisho ya Uongo na Manabii wa Uongo{ Mt 24: 24, Mt 24:11, 1 Tim 4:1
}
Mtaifahamu kweli, na kweli itawaweka huru
Mafundisho Ya Msingi ya Kweli ya Mungu
ü Yesu Kristo alifufuka kutoka kwa wafu ( Luke 24:36,39
ü Wokovu ni kipawa cha Mungu kipatikanacho kwa njia ya Imani katika Kristo pekee ( Efeso 2:8-9,
Galatia 2:16)
ü Yesu Kristo Atarudi tena ( Mdo 1:11, Ufunuo 1:7)
Mafundisho ya Uongo
Uongo halisi ulipotosha kweli ya Mungu/Mafundisho yanayokanusha kweli
Uongo unatafasiri neno la Mungu Kinyume na maana yake
Mafundisho yaliyo kinyume na kweli ya neno la Mungu
Uongo ulichanganya na sehemu ya kweli iletayo upotevu
Yaliyojengwa juu ya Mtu
Kuelewa mafundisho ya Uongo
Ɂ
Hakuna utatu mtakatifu
Ɂ
Yesu kristo si Mungu/Hakuzaliwa na Mwanamke
Ɂ
Biblia si neno la Mungu au Biblia ina Mapungufu inahitaji mafunuo mengine ambayo mtu amefunuliwa ( Mfano Vitabu vya Jehova, Agano la
Mormons)
Ɂ
Ubatizo ni kwa jina la Yesu pekee
Ɂ
Hakuna jehanamu wala Mbingu
Ɂ
Hakuna dhambi ( Wote wamefanya dhambi)
Ɂ
Wokovu hupatikana kwa njia ya Matendo
Ɂ
Yesu kristo hatarudi/ alikwisha kurudi
Ɂ
Njia ya kwenda mbinguni si nyembamba
Ɂ
Mungu ni mwenye huruma sana hawezi kumpeleka mtu jehanamu
Kwa nini wakristo wanapaswa kujihadhari(2 Kor 11: 3-4)
v Yesu Mwingine, Roho Nyingine, Injili Nyingine
v Mafundisho ya Uongo hubadili maana ya maneno ya Mungu kuwa kitu kingine/hupotosha/kukutoa katika njia
v Roho Mtakatifu kwa Mormon-
Female spirit, Mother Spirit
v Roho Mtakatifu-
Jehovah sio nafsi ya Mungu,bali nguvu fulani
v Ondoleo la Dhambi kwa njia ya Damu ya Yesu Kristo-Mormon- Mtu inabidi amwage damu yake ili apate ondoleo la dhambi
Yesu Kristo ni nani katika mafundisho ya uongo (Few)
Ni nabii Bahaullah- Bahai
Christian Science- Wazo – Divine Idea
Freemasons- sio Mungu, - Kwao Jao-bul-on ni mungu
Jehovah Witness- Michael malaika mkuu,kiumbe cha kwanza kwa Mungu, alikuja kama mtu , akafa akafufuka kama roho isiyoonekana, alirudi kiroho 1914 ili kuongoza .
Jiponye Nafsi yako na Mafundisho ya Uongo
ü
Kila neno ulisikialo ni lazima kulipima katika neno la Mungu
ü
Jifunze kweli, tafakari kweli,jihadhari
SIKU ZA
MWISHO
Maonyo ya Biblia juu ya Mafundisho ya Uongo na Manabii wa Uongo{ Mt 24: 24, Mt 24:11, 1 Tim 4:1
}
Mtaifahamu kweli, na kweli itawaweka huru
Mafundisho Ya Msingi ya Kweli ya Mungu
ü Yesu Kristo alifufuka kutoka kwa wafu ( Luke 24:36,39
ü Wokovu ni kipawa cha Mungu kipatikanacho kwa njia ya Imani katika Kristo pekee ( Efeso 2:8-9,
Galatia 2:16)
ü Yesu Kristo Atarudi tena ( Mdo 1:11, Ufunuo 1:7)
Mafundisho ya Uongo
Kuelewa mafundisho ya Uongo
Ɂ
Hakuna utatu mtakatifu
Ɂ
Yesu kristo si Mungu/Hakuzaliwa na Mwanamke
Ɂ
Biblia si neno la Mungu au Biblia ina Mapungufu inahitaji mafunuo mengine ambayo mtu amefunuliwa ( Mfano Vitabu vya Jehova, Agano la
Mormons)
Ɂ
Ubatizo ni kwa jina la Yesu pekee
Ɂ
Hakuna jehanamu wala Mbingu
Ɂ
Hakuna dhambi ( Wote wamefanya dhambi)
Ɂ
Wokovu hupatikana kwa njia ya Matendo
Ɂ
Yesu kristo hatarudi/ alikwisha kurudi
Ɂ
Njia ya kwenda mbinguni si nyembamba
Ɂ
Mungu ni mwenye huruma sana hawezi kumpeleka mtu jehanamu
Kwa nini wakristo wanapaswa kujihadhari(2 Kor 11: 3-4)
v Yesu Mwingine, Roho Nyingine, Injili Nyingine
v Mafundisho ya Uongo hubadili maana ya maneno ya Mungu kuwa kitu kingine/hupotosha/kukutoa katika njia
v Roho Mtakatifu kwa Mormon-
Female spirit, Mother Spirit
v Roho Mtakatifu-
Jehovah sio nafsi ya Mungu,bali nguvu fulani
v Ondoleo la Dhambi kwa njia ya Damu ya Yesu Kristo-Mormon- Mtu inabidi amwage damu yake ili apate ondoleo la dhambi
Yesu Kristo ni nani katika mafundisho ya uongo (Few)
Jiponye Nafsi yako na Mafundisho ya Uongo
ü
Kila neno ulisikialo ni lazima kulipima katika neno la Mungu
ü
Jifunze kweli, tafakari kweli,jihadhari
No comments:
Post a Comment