Mafundisho ya Uongo
• Utabadilika na kuwa kiumbe kingine- Kama Nyani,nguruwe .k .n kutegemea na maisha unayoishi sasa.
– Kifo ni Mwisho wa Kila kitu
– Wote watakuwa peponi
• Wengine wanakwenda purgatory waweza kukaa huko miaka kadhaa,maombezi ya watu na watakatifu wa zamani yatakutoa huko
• Biblia inathibitisha katika maandiko mbalimbali kwamba baada ya maisha haya yako maisha ya Milele
– Yesu alikwenda Mbinguni- Mdo 1
– Anaandaa Makao ya Milele
– Luke 16:19-31- Lazaro na Tajiri
– Maisha yao: Tajiri na Lazaro
The Rich Man
• He never cared about others
• He was a proud man because of his richness and success
• He had a luxurious life
• He never had the fear of God
• He never believed that there is life after death
• He worshiped money/riches and not God
• Selfish
• He loved animals than people
Mtu Masikini (Lazaro)
• Alikuwa masikini,hakuwa na uwezo
• Alikuwa akiomba omba
• Mbwa walilamba vidonda vyake – Hakupata dawa/vidonda visivyopona
• Kifo kiliwajia wote ( All will die)
• Hatima yao ikawa dhahiri kwa kila mmoja baada ya Kufa ( Sekunde chache baada ya kufa utajua ukweli uliokataa lakini utakuwa umechelewa)
• Maombi ya Tajiri
• Majibu ya Ibrahimu
• Nataka Nikuulize swali hili leo
• ‘’utakuwa wapi baada ya Maisha haya?’’
• Mungu hajakuandikia upotee milele
• Upendo wake kwako.
• Mpokee Yesu Leo.
Pastor Lucky Yona
TAG-Arusha Christian Worship Centre
TAG-Arusha Christian Worship Centre





